Ligi Kuu ya Vijana U20 imetinga hatua ya nusu fainali baada ya michezo ya nane bora kukamilika
Michezo ya nusu fainali utapigwa kesho Alhamisi ambapo Simba itacheza na mabingwa watetezi Mtibwa Sugar
Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi na nusu Alasiri
Mchezo mwingine utakaopigwa mapema ni kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc
Ligi itahitimishwa Jumamosi kwa mchezo wa fainali kupigwa
ADVERTISE HERE