Onyango arejea kikosini Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jun 2021
Onyango arejea kikosini Simba

Baada ya kukosekana uwanjani kwa takribani wiki tatu kutokana na majeraha, beki kisiki wa Simba Joash Onyango amerejea mazoezi kuendelea na majukumu yake

Onyango alipata majeraha kwenye mchezo wa pili wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Maya 22 2021

Beki huyo 'nusu chuma nusu mtu' leo ameshiriki mazoezi ya mabingwa hao wa nchi yaliyofanyika uwanja wa Mo Simba Arena

Simba inajiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa Jumamosi, Juni 19 uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’