Nusu fainali ASFC ni Juni 26 Ruvuma

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jun 2021
Nusu fainali ASFC ni Juni 26 Ruvuma

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ratiba ya michezo ya nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) itakayopigwa mwishoni mwa mwezi huu

Mabingwa watetezi Simba Sc wao watashuka dimbani mkoani Ruvuma, uwanja wa Majimaji kuwakabili Azam Fc katika mchezo utakaounguruma Juni 26 ukiwa ni mchezo wa pili wa nusu fainali

Mchezo wa kwanza ni kati ya Biashara United dhidi ya Yanga utakaopigwa Juni 25 uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora

Simba ndio mabingwa watetezi wa michuano hiyo wakishinda kombe hilo msimu uliopita kwa kuifunga Namungo Fc mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliopigwa Rukwa

Hii ni nafasi nyingine kwa Simba kuchukua kombe hilo. Kama wataifunga Azam Fc na watani zao Yanga wakaifunga Biashara United, wakazi wa Kigoma watakuwa na fursa ya kushuhudia dabi 'mbashara' mkoani mwao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’