Rais Samia aagiza ukarabati wa viwanja vya Michezo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jun 2021
Rais Samia aagiza ukarabati wa viwanja vya Michezo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukarabati viwanja wanavyovimiliki

Akizungumza na Vijana jijini Mwanza leo, Mama Samia amesema michezo ni ajira. Amesisitiza kama CCM hawawezi kuvikarabati basi ni vyema wakatafuta wawekezaji wa kuwasaidia

"Viwanja vingi vya Michezo vinamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM). Nakiomba chama kikarabati viwanja hivyo na Kama wanashindwa basi watafute wawekezaji ili viwanja viwekwe nyasi za bandia kwani michezo ni ajira," alisema Rais Samia

Kwa hakika Rais Samia anastahili pongezi kwa kuliona hili kwani malalamiko yalikuwa mengi

Hatimaye changamoto ya ubovu wa viwanja hasa mikoani huenda itapata ufumbuzi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’