Erasto Nyoni anazidi kunawiri dimbani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jun 2021
Erasto Nyoni anazidi kunawiri dimbani

Kiraka Erasto Nyoni ameendelea kuwaduwaza wengi kutokana na ubora ambao anaendelea kuonyesha katika kikosi cha Simba na timu ya Taifa

Wakati umri wake ukiendelea kumtupa mkono, Nyoni anazidi kuwa mahiri

Juzi alipiga 'shoo' ya maana katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya Malawi

Huyu mwamba ni kama mvinyo, kadiri unavyoisha ndio utamu unazidi kunoga

Nyoni tayari amepewa mkataba wa kuendelea kuitumikia Simba kwa mwaka mwingine mmoja

Kazi yake uwanjani imewashawishi mabosi wa Simba kuendelea kumuamini kikosini

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’