Mshambuliaji Moses Phiri wa Zanaco Fc anazungumzwa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa mbioni kusajiliwa na mabingwa wa nchi, Simba
Phiri ndiye mfungaji bora wa ligi kuu ya Zambia msimu huu akiweka kambani mabao 17
Phiri yuko karibu sana na akina Clatous Chama na Larry Bwalya wote wakiwa wachezaji wa timu ya Taifa ya Zambia 'Chipolopolo'
Wengi wamevutiwa na picha aliyoweka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii ikimuonyesha akiwa amevalia uzi wa klabu ya Simba
Lisemwalo lipo kama halipo basi........
ADVERTISE HERE