Simba U20 yapongezwa kutinga nusu fainali ligi ya vijana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jun 2021
Simba U20 yapongezwa kutinga nusu fainali ligi ya vijana

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeipongeza Simba U20 kwa kufanikiwa kutinga nusu fainali ya ligi kuu ya Vijana inayopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi

Ushindi wa bao 1-0 waliopata jana usiku dhidi ya JKT Tanzania, umewahakikishia kutinga hatua hiyo

Ulikua mchezo wenye upinzani mkali, Simba ikihitaji angalau alama moja kwenda nusu fainali

Ni ushindi muhimu kwa Simba ambayo inaendelea na kampeni ya kusaka ubingwa wa vijana kwa mara ya pili

Huu ni msimu mwingine wa makombe Msimbazi...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’