Simba yafafanua jezi toleo jipya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jun 2021
Simba yafafanua jezi toleo jipya

Uongozi wa klabu ya Simba umetoa ufafanuzi kuwa jezi walizozindua hivi karibuni kwa ajili ya michuano ya kombe la Shirikisho, zimetolewa na mdhamini anayemaliza muda wake

Mkataba na kampuni ya Vunja Bei utaanza msimu ujao, ambapo kampuni hiyo itazindua jezi baada ya msimu huu kumalizika

"Ifahamike jezi mpya tulizozindua wiki iliyopita kwa ajili ya Kombe la Shirikisho la Azam zimetolewa na mzabuni wetu anaemaliza muda wake msimu huu," ilisomeka sehemu ya taarifa iliyotolewa na Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’