Maproo Simba kurejea kikosini Jumanne

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jun 2021
Maproo Simba kurejea kikosini Jumanne

Nyota waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa, wanatarajiwa kurejea kambini kesho Jumanne kujiunga na wenzao katika maandalizi ya mechi za ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania na Mbeya City

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema nyota waliokuwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wote wataripoti kambini kesho wakati wale wa Mataifa ya nje wanatarajiwa kuwasili nchini wakati wowote

Aidha Rweyemamu amesema kocha Didier Gomes tayari amerejea na leo alitarajiwa kuongoza mazoezi Bunju

Gomes alikuwa Ufaransa kwa ajili ya mapumziko wakati ligi iliposimama kupisha kalenda ya FIFA

Juni 19 Simba itakuwa mkoani Mwanza kuikabili Polisi Tanzania kisha kurejea jijini Dar es salaam kuumana na Mbeya Juni 22

Baadae mabingwa hao wa nchi wataelekea Ruvuma wanakokabiliwa na mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Azam Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’