Vigogo wanamiminika kumtaka Miquissone

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jun 2021
Vigogo wanamiminika kumtaka Miquissone

Kiwango kizuri alichoonyesha kwenye michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu kimemfanya Luis Miquissone kuwa mchezaji anayewindwa na timu nyingi

Simba inaweza kulazimika kumuuza Miquissone kama watapata ofa nono zaidi

Thamani ya Miquissone kwa sasa ni dola Mil 1 ambazo ni zaidi ya Bil 2 za Kitanzania

Simba inahusishwa na nyota wawili raia wa Zambia Moses Phiri (Zanaco) na Justine Shonga anayekipiga kunako klabu ya Cape Town City ya Afrika Kusini

Nyota hao wote wanaweza kusajiliwa kama Simba itaamua kumuuza Miquissone ambaye kwa hakika thamani yake imepanda mara dufu

Kwa kocha Didier Gomes hatapenda kuona Miquissone anauzwa kwani ni mchezaji muhimu sana kwenye kikosi chake

Lakini pia haitakuwa rahisi kwa Simba kukataa kitita cha Tsh Bilioni 2 na nusu dau ambalo linatajwa kuwekwa mezani kwa ajili ya mchezaji huyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’