Simba inahitaji alama moja tu kwenda nusu fainali ligi U20

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jun 2021
Simba inahitaji alama moja tu kwenda nusu fainali ligi U20

Simba U20 watakamilisha hatua ya makundi ligi ya vijana leo kwa kuikabili JKT Tanzania katika mchezo ambao alama moja tu itatosha kuipeleka Simba nusu fainali ya ligi kuu ya Vijana

Suluhu ya bila kufungana dhidi ya Yanga na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui Fc, Simba imefikisha alama nne

Katika msimamo wa kundi A Yanga inaongoza ikiwa na alama nne kama ilivyo Simba inayoshika nafasi ya pili, Yanga wamefunga bao moja zaidi

JKT Tanzania wako nafasi ya tatu wakiwa na alama tatu wakati Mwadui Fc hawana pointi na ayari wameondoshwa kwenye michuano hiyo

Simba inasaka ubingwa wake wa pili ligi kuu ya vijana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’