Tanzania uwanjani dhidi ya Malawi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jun 2021
Tanzania uwanjani dhidi ya Malawi

Taifa Stars, timu ya Taifa ya Tanzania jioni ya leo itashuka katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Malawi ukiwa ni mchezo wa Kimataifa wa kirafiki

Mchezo huo uko katika kalenda ya FIFA

Ni sehemu ya maandalizi ya kikosi cha kocha Kim Polusen kuelekea michezo ya kuwania tiketi ya kuwania kufuzu fainali ya kombe la dunia 2022

Tanzania inatarajiwa kucheza na DR Congo mwezi Septemba mwaka huu

Viingilio vya mchezo huo VIP ni Tsh 5,000/- na Mzunguuko ni Tsh 2,000, mashabiki wameaswa kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’