Shabiki wa Simba aliyetoka Kigoma kwa Mguu kwenda Dar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jun 2021
Shabiki wa Simba aliyetoka Kigoma kwa Mguu kwenda Dar

Mshabiki wa klabu ya Simba Michael Filbert, aliondoka mkoani Kigoma wiki iliyopita kuelekea jijini Dar es salaam kwa mguu kushuhudia mchezo dhidi ya Yanga utakaopigwa Julai 03 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Michael amesema atavunja rekodi iliyowekwa na mtani wake Mansour ambaye alifanya tukio la aina hiyo mwezi April akitoka Kigoma kwenda Dar kwa mguu kushuhudia mchezo uliopaswa kupigwa May 08

Mansour alitumia siku 22 mpaka kufika jijini Dar es salaam, Michael amesema yeye atatumia muda mfupi zaidi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
10h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
10h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
13h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’