Lechantre kuamua Bocco acheze au la

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Mar 2018
Lechantre kuamua Bocco acheze au la
Kikosi cha Simba kiko tayari kuikabili Al Masry kwenye mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho barani Afrika, raundi ya kwanza.

Simba itashuka katika uwanja wa Taifa kesho Jumatano, saa 12 jioni kuwakabili waarabu hao kutoka Misri.

Akizungumza na waandishi wa Habari leo, kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre alisema hana wasiwasi na wachezaji wake wote wa kikosi cha kwanza isipokuwa nahodha John Bocco ambaye hatma yake itafahamika baada ya mazoezi ya jioni hii.

Lechantre amesema Bocco anahitajika sana kwenye mchezo huo kutokana na uwezo wake wa kuzifumania nyavu lakini amesisitiza ni lazima benchi la Ufundi lijiridhishe juu ya utimamu wake kuelekea mchezo huo.

Aidha kwa upande wa Emanuel Okwi, Lechantre amesema mshambuliaji huyo wa Kimataifa kutoka Uganda yuko fiti kwa asilimia 100.

Simba inafanya mazoezi ya mwisho katika viwanja vya Boko Veterani tayari kwa ajili ya mchezo huo wa kesho
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’