Bocco, Mzamiru, Nyoni hatihati kuikosa Malawi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jun 2021
Bocco, Mzamiru, Nyoni hatihati kuikosa Malawi

Kuelekea mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya Mwalawi,  nyota wanne wa timu ya Taifa wamewekwa chini ya uangalizi wa daktari na wanaweza kukosa mchezo huo ambao utapigwa Jumapili

Stars itakuwa mwenyeji wa Malawi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi za mchujo Kombe la Dunia ambapo imepangwa kuvaana na DR Congo na Madagascar

Wachezaji Salim Aboubakar, anayetokea Azam Fc, beki Erasto Nyoni, mshambuliaji John Bocco, na kiungo Mzamiru Yassin, wote watatu wa Simba, wamewekwa chini ya uangalizi maalum wa madaktari

Wachezaji hao hawakushiriki mazoezi ya jana Alhamisi yaliyoongozwa na kocha mkuu Kim Poulsen na kulingana na meneja wa timu Nadir Haroub, watabaki chini ya uangalizi maalum kabla ya kuamua ikiwa watahusika au la

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’