Klabu ya Simba imeanzisha shindano kwa wabunifu wa mavazi kubuni jezi ya klabu hiyo kwa ajili ya msimu ujao
Ni kupitia SIMBA JERSEY CHALLENGE ambapo mshindi atakuwa ni mbunifu ambaye atapigiwa kura nyingi na mashabiki
Unachotakiwa kufanya ni kubuni jezi ya Simba na upost kwenye ukurasa wako wa mtandao wa kijamii kwa kutumia hashtag ya #SimbaJerseyChallenge
Viongozi wa Simba wataipitia na kuiweka kwenye kurasa za Instagram na Facebook za Simba alafu mashabiki watapiga kura kuchagua nani mshindi
ADVERTISE HERE