Wanasiasa wasiingilie uchaguzi TFF - Wabunge

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jun 2021
Wanasiasa wasiingilie uchaguzi TFF - Wabunge

Wakati zoezi la kuchukua na kurudisha fomu likiendelea Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamewataka wanasiasa kutoingilia uchaguzi wa TFF

Wakizungumza mkoani Dodoma mapema leo, Wabunge hao wametaka uchaguzi huo ufanyike kwa kuzingatia sheria kwa mujibu wa FIFA, CAF na TFF

Wabunge hao ni pamoja na Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula, Mbunge Korogwe Vijijini, Timotheo Mnzava, Mbunge Muheza Mjini, Hamis Mwinjuma na Mbunge Kasulu Vijijini, Vuma Augustine Holle

Wamesisitiza kuwa ni muhimu kanuni zilizopo kusimamiwa na haki itendeke bila kuingiliwa na Serikali na kama kuna malalamiko basi ni vyema kanuni za mpira zitumike kupata suluhu.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’