Kilio kinawasubiri Julai 03

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jun 2021
Kilio kinawasubiri Julai 03

May 08 mchezo haukufanyika baada ya Yanga kugomea mabadiliko ya muda jambo lililopelekea mchezo huo kuahirishwa

Bodi ya ligi imewaambia viongozi wa Yanga kuwa Julai 03 hawana namna ya kukimbia! kwani wakifanya hivyo hakutakuwa na busara tena, kanuni itatumika

Adhabu ya kutopeleka timu uwanjani ni kushushwa madaraja mawili chini!

Kwa sasa Simba inaendelea na maandalizi ya kuelekea mechi zinazofuata ligi kuu ikiwa ni pamoja na mchezo huo licha ya kuwa wachezaji wengi wa Simba wako kwenye timu zao za Taifa kutimiza majukumu ya nchi

Inawezekana Julai 03 Simba inaweza kuwa tayari imetangaza ubingwa hivyo watapaswa kutoa heshima kwa mabingwa kabla ya mchezo!

Hili ni jambo jingine muhimu ambalo wanapaswa walizingatie kulingana na kanuni..!

Β 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’