Kabangu anaitamani sana Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jun 2021
Kabangu anaitamani sana Simba

Mshambuliaji wa DC Motema Pembe ya DR Congo, Kadima Kabangu, amesema ubora walionao viungo wa Simba wakiongozwa na Clatous Chama na Luis Miquissone, utamfanya afunge mabao mengi iwapo atatua ndani ya kikosi hicho msimu ujao

Kabangu ndani ya msimu huu wa Ligi kuu ya DR Congo akiwa na Motema Pembe, amefanikiwa kufunga mabao 9 na kutoa asisti 4 katika michezo 16, huku akifanikiwa kufunga mabao 3 katika michezo minne ya Kombe la Shirikisho Afrika

Mshambuliaji huyo ameweka wazi kuwa tayari amewasiliana na Kocha wa Simba, Didier Gomes kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo

"Simba wana viungo wazuri wa kutengeneza mabao kama Chama, Luis na Bwalya (Rally), hivyo naamini kupitia wao nitafunga mabao mengi sana kama nitafanikiwa kukamilisha usajili wangu wa kujiunga na Simba katika siku zijazo"

"Ligi ya Tanzania nimeifuatilia na bado naendelea kuifuatilia, ni ligi nzuri na yenye ushindani mkubwa, unatakiwa kujituma kila siku ili uweze kufanikiwa kufunga kama ukiwa mshambuliaji, binafsi nimejiandaa kwa kupambana"

GPL

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’