Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Kim Poulsen akiwa na makocha wasaidizi Selemani Matola na Juma Mgunda wameendelea kukiandaa kikosi cha Stars kwa ajili ya mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi
Mchezo huo ulio katika kalenda ya FIFA, utapigwa Jumapili, Juni 13 katika uwanja wa Benjamin Mkapa



TFF imetaja viingilio vya mchezo huo ambapo VIP ni Tsh 5,000/- na Mzunguuko ni Tsh 2,000/-

ADVERTISE HERE