Jana kipenga cha uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilipulizwa ambapo fomu za kuwania Urais na Ujumbe wa Kamati ya Utendaji zilianza kutolewa
Rais Wallace Karia alikuwa mgombea wa kwanza kuchukua fomu akidhamiria kutetea kiti chake katika awamu ya pili
Alichukuliwa fomu na wadau wa michezo Swed Nkwabi na Phillemon Ntahilaja
Aidha wagombea wengine wawili, Evans Mgeusa na Zahor Mohammed Haji nao walichukua fomu kuwania nafasi ya Urais
ADVERTISE HERE