Mapumziko kidogo baada ya kazi nzuri

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jun 2021
Mapumziko kidogo baada ya kazi nzuri

Uongozi wa klabu ya Simba umempa ruhusa kocha wake mkuu Didier Gomes kwenda mapumziko ya muda mfupi kwao Ufaransa baada ya ligi kusimama kupisha kalenda ya mechi za Kimataifa

Tangu alipotua Msimbazi mwezi Januari 2021, Gomes amefanya kazi nzuri akiisaidia Simba kufika robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa, nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam huku akiwa na uhakika wa kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo

Simba itarejea dimbani Juni 19 kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa mkoani Kilimanjaro

Wachezaji wasiokuwa na majukumu ya timu za Taifa na wamepewa mapumziko ya siku chache

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’