Ajibu yupo sana Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jun 2021
Ajibu yupo sana Msimbazi

Tetesi zimekuwa nyingi kuhusu hatma ya kiungo mshambuliaji wa Simba, fundi wa mpira Ibrahim Ajibu Migomba

Habari za uhakika ni kuwa fundi huyu yuko mbioni kuongeza mkataba wa kuendelea kukipiga Msimbazi

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes ameweka wazi kuwa hafikirii kuacha mchezaji yeyote wa ndani kwani wachezaji alionao ni bora zaidi ya wale walio katika timu nyingine

Ajibu amekabiliwa na changamoto ya kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza kutokana na ushindani wa namba

Lakini hilo haliondoi ukweli ni mmoja wa wachezaji bora walio ndani ya ardhi ya Tanzania

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’