Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limewakumbusha wadau wanaotaka kugombea nafasi ya Urais na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji kuwa fomu za kugombea nafasi hizo zitaanza kutolewa kesho Jumanne
Fomu zitapatikana kwenye ofisi za TFF na katika tovuti rasmi ya Shirikisho hilo
Mwisho wa kuchukua fomu ni Juni 12 2021, saa 10 jioni
ADVERTISE HERE