Mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula ni miongoni mwa wachezaji walioingia kambini na timu ya Taifa kujiandaa na mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi
Mchezo huo utapigwa Jumapili ijayo, Juni 13 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Manula, Erasto Nyoni, Mohammed Hussein, Shomari Kapombe,Kennedy Juma, Mzamiru Yassin na John Bocco wamejumuishwa katika kikosi kilichotangazwa na kocha Kim Poulsen wiki iliyopita


ADVERTISE HERE