Mshambuliaji DC Motema Pembe ahusishwa na Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jun 2021
Mshambuliaji DC Motema Pembe ahusishwa na Simba

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes hatarajii kufanya usajili mkubwa kuelekea msimu ujao kutokana na ubora wa kikosi chake

Hata hivyo inaelezwa, Gomes amependekeza usajili wa wachezaji wawili wa kigeni katika nafasi ya ushambuliaji na mlinzi wa kati

Mmoja wa washambuliaji wanaotajwa kuwa katika mpango wa Gomes ni mshambuliaji wa Klabu ya DC Motema Pembe ya DR Congo, Kadima Kabangu

Katika msimu huu Kabangu amefunga mabao tisa na kutoa pasi nne katika michezo 16 ya ligi kuu nchini DR Congo, huku katika kombe la Shirikisho akifanikiwa kufunga mabao matatu katika michezo minne aliyocheza

Gomes anahitaji kusajili mshambuliaji mwenye uzoefu wa soka la Kimataifa ambaye uwezo wake ni zaidi ya hawa waliopo

Hata hivyo usajili huo unamaanisha kutakuwa na mshambuliaji mmoja ambaye atapaswa kuondoka

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
54m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’