Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amemtakia kila la kheri kiungo mshambuliaji Francis Kahata ambaye mkataba wake na Simba umemalizika
Mo amesema Simba itaendelea kumuenzi nyota huyo kutokana na mchango wake katika miaka miwili aliyoitumikia Simba
Katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Mo ameweka ujumbe maalum wa shukrani kwa Kahata
ADVERTISE HERE