Nyota wa Simba waingia kambini Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jun 2021
Nyota wa Simba waingia kambini Stars

Wachezaji saba wa Simba walioitwa kujiunga na timu ya Taifa, wameingia kambini jana kuungana na wenzao kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi

Mchezo huo utapigwa Jumapili ijayo, Juni 13 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Nyota wa Simba walipitwa Stars ni Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Kennedy Juma, Mzamiru Yassin na John Bocco

Aidha wachezaji wa kigeni walioitwa timu za Taifa nao wameondoka nchini kwenda kujiunga na timu zao

Wachezaji hao ni Larry Bwalya (Zambia), Meddie Kagere (Rwanda) na Taddeo Lwanga (Uganda)

Kiungo Clatous Chama aliondolewa katika timu ya Taifa ya Zambia baada ya kufiwa na mkewe Mercy Chama wiki iliyopita

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’