Kahata awaaga mashabiki Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Jun 2021
Kahata awaaga mashabiki Simba

Baada ya misimu miwili ya mafanikio akiwa na klabu ya Simba, kiungo Francis Kahata raia wa Kenya, amewaaga viongozi, wanachama na mashabiki wa Simba baada ya mkataba wake kumalizika

Ilikuwa safari tamu, yenye kumbukumbu na machungu tangu siku niliyotua nchini Tanzania. Nilipewa support na upendo kutoka kwa timu ya uongozi chini ya Mo Dewji, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki wa Simba.

Shukrani zangu zinakwenda kwa kocha mkuu Didier Gomes kwa nafasi aliyonipa kuiwakilisha jezi nyekundu, wachezaji wenzangu kwa ushirikiano walionipa na wote tuliokuwa pamoja katika safari hii.

Ninaondoka nikiwa kifua mbele huku najivunia mafanikio ndani ya klabu. Umefika wakati wa kusema kwaheri kwenu nyote. Natakiwa kutafuta changamoto mpya na nafasi sehemu nyingine.

Daima nitaishukuru Simba kwa kila kitu na kumtakia kila la heri kila mmoja kwenye mechi zijazo na misimu pia. Miaka miwili ilikuwa yenye faida.

Asanteni wanasimba na kila la heri hadi siku nyingine panapo majaaliwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’