Salamu za shukrani kutoka kwa Chama

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jun 2021
Salamu za shukrani kutoka kwa Chama

Kiungo wa Simba Clatous Chama, amewashukuru viongozi wa klabu ya Simba, wachezaji wenzake na benchi la ufundi kwa sapoti waliompa kipindi chote cha msiba wa mkewe aliyefarikia nchini Zambia mwishoni mwa wiki iliyopita

Aidha, Chama wamewashukuru mashabiki wa Simba na wadau wote waliokuwa na yeye bega kwa bega katika kipindi hiki cha majonzi ya kumpoteza mama wa watoto wake

Simba ilituma mwakilishi Ally Shatry ambaye pia aliwasilisha rambirambi za klabu katika mazishi ya Mercy Chama aliyezikwa Kitwe Zambia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’