Gomes anataka wapya wawili tu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jun 2021
Gomes anataka wapya wawili tu

Ukikiangalia kikosi cha Simba ni wazi hutarajii kuona mabadiliko makubwa yakifanyika katika dirisha la usajili linalotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni

Hesabu za Simba kujiimarisha ni kwa ajili ya Kimataifa zaidi kwani kwa ligi ya ndani Simba imejipambanua kuwa iko mbali sana kulinganisha na timu nyingine

Ndio manaa hata Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Didier Gomes amedokeza kuwa hatarajii kufanya usajili mkubwa

Gomes amesema anahitaji kuongeza wachezaji wawili tu wa kigeni, mlinzi wa kati na mshambuliaji kwani ndio maeneo aliyobaini kuwa na changamoto

Aidha kwa wachezaji wa ndani, Gomes amesema Simba ndio timu yenye wachezaji bora zaidi wa ndani licha ya kuwa baadhi yao hawapati nafasi ya kucheza mara kwa mara kutokana na ushindani uliopo

Hivyo hafikirii kusajili labda kama kuna mchezaji ataondoka mwenyewe jambo ambalo hatarajii kuona likitokea kutokana na ukweli kuwa Simba ndio klabu inayowapa wachezaji wake huduma bora zaidi kulinganisha na timu nyingine zinazoshiriki ligi kuu

"Hatuna mapungufu makubwa sana mpango wangu ni kufanya usajili makini ambao utaziba makosa yaliyotugharimu msimu huu kwenye michuano ya kimataifa ndio maana nataka kuongeza nyota wawili wenye uzoefu wa kutosha  na mashindano hayo, "alisema Gomes.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’