Ni ushindi wa saba mfululizo VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jun 2021
Ni ushindi wa saba mfululizo VPL

Mara ya mwisho Simba kudondosha pointi katika ligi kuu ya Vodacom ni March 09 pale walipolazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting leo ni wa saba mfululizo kwenye ligi

Aidha nahodha John Bocco ameendelea kukaribia usukani katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu akifikisha mabao 13

Prince Dube wa Azam Fc anaongoza akiwa na mabao 14

Aidha Chris Mugalu nae anazidi kusogea juu leo akifunga bao lake la 10

Simba inalisogelea kombe la nne mfululizo, wakiwa wamebakisha mechi saba, wanahitaji kushinda michezo mitatu tu waurejeshe ubingwa Msimbazi

Kwa mwendo huu, jambo hilo litakamilika haraka kwani haionekani kama yupo wa kuizuia Simba

Mnyama anakwenda mapumziko ya kalenda ya FIFA akiwa kileleni kwa tofauti ya alama sita na mechi tatu za kiporo!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’