Saa kumi jioni kikosi cha Simba kitashuka uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Ruvu Shooting ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Baada ya kuonyesha kiwango kizuri katika mchezo uliopita, Hassan Dilunga leo amepata nafasi ya kuanza akichukua nafasi ya Bernard Morrison anayeanzia benchi
Nahodha John Bocco nae akianza sambamba na Chris Mugalu

ADVERTISE HERE