Nahodha wa Simba John Bocco ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Mei, Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month
Bocco ameshinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Simba akiwashinda Bernard Morrison na Taddeo Lwanga
Bocco alipata kura 3, 942 (59.3%), Morrison kura 1,956 (29.4%) na Lwanga akipata kura 744 (11.3%)
Bocco atakabidhiwa kitita cha Sh 1,000,000 na Emirate Aluminium kama zawadi ya ushindi.
ADVERTISE HERE