Mabingwa wa soka Tanzania, Simba leo wamekamilisha maandalizi yao ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting
Mchezo huo utaunguruma kesho Alhamisi kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
Simba imefanya mazoezi yake jioni ya leo katika uwanja huo








ADVERTISE HERE