Simba yaahidi ushindi dhidi ya Ruvu Shooting

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jun 2021
Simba yaahidi ushindi dhidi ya Ruvu Shooting

Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola amesema kikosi cha timu hiyo kiko tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shootinga ambao utapigwa kesho Alhamisi kwenye uwanja wa CCM Kirumba

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari kuelezea maandalizi ya kikosi cha Simba, Matola amesema wachezaji wote wako tayari

"Tunashukuru tuliwasili salama jijini Mwanza, jana tulifanya mazoezi kwenye uwanja wa Nyamagana na leo tutakamilisha maandalizi yetu katika uwanja wa CCM Kirumba"

"Tunajua hautakuwa mchezo mwepesi kwani Ruvu Shooting wanakuwa wagumu kila wanapokutana na sisi lakini tumejipanga, tutaondoka na pointi tatu," alisema Matola

"Sisi lengo letu ni kutetea ubingwa, mchezo utakuwa mgumu lakini naamini wachezaji wetu watafanikisha malengo kwa kuibuka na ushindi"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
12h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’