Sisi tunacheza ligi ya peke yetu - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jun 2021
Sisi tunacheza ligi ya peke yetu - Manara

Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amesema hakuna timu yenye ubavu wa kuwazuia kuchukua ubingwa msimu huu wanachosubiri sasa ni muda uwadie ili washangilia ubingwa huo wa nne mfululizo

Akizungumza kuelekea mchezo dhidi ya Ruvu Shooting, Manara amesema wanatarajia kushinda mchezo huo, kama matokeo yatakuwa tofauti basi ni kwa bahati mbaya tu

"Simba ni timu bora sana hapa Tanzania, hatupewi heshima yetu. Sisi tunacheza ligi ya peke yetu. Kuna wale wanaopigania kushuka daraja, Kuna wale wanaoisindikiza Simba kuchukua ubingwa, na kuna Simba"

"Msimu huu tayari ulishaisha sababu tulishachukua ubingwa na sioni wa kuizuia Simba kuchukua ubingwa, siyo kwa msimu huu tu bali kwa misimu sita ijayo," alitamba Manara

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’