Winga Bernard Morrison yuko na kikosi cha Simba jijini Mwanza kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Alhamisi kwenye uwanja wa CCM Kirumba
Morrison awasubiri, aendelee kuwakeraa!Β
Mwamba amepunguza ndevu zake za 'karantini...'
ADVERTISE HERE