Machampioni wa soka Tanzania, Simba wamewasili salama jijini Mwanza tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting
Mchezo huo utaunguruma siku ya Alhamisi katika uwanja wa CCM Kirumba
Huu ni mchezo wa kisasi kwa Simba kwa kuzingatia matokeo ya mchezo wa duru ya kwanza ambao ulimalizika kwa Ruvu Shootinga kushinda bao 1-0
Msemaji wa Ruvu Shooting Massau Bwire ameendeleza tambo zake, lakini Alhamisi lazima anune..!
ADVERTISE HERE