Fraga yuko tayari kurejea Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Jun 2021
Fraga yuko tayari kurejea Msimbazi

Kiungo Gerson Fraga raia wa Brazil amepona majeraha yaliyomuweka nje tangu mwezi Septemba mwaka jana na sasa yuko tarai kurejea dimbani

Kiungo huyo mkabaji alipata majeraha wakati akiitumikia Simba katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania

Alifanyiwa upasuaji wa goti na hivyo kuwa nje kwa zaidi ya miezi saba

Wakati Simba ikitangaza kumruhusu aondoke kwa ajili ya matibabu, ilielezwa kuwa anaweza kurejea Msimbazi pale atakapokuwa amepona majeraha

Mwamba amepona na mwenyewe amedokeza kuwa nyakati njema kwake zinakaribia

Kwa sasa Simba ina Taddeo Lwanga eneo la kiungo mkabaji akishirikiana na Mzamiru Yassin na Jonas Mkude ambaye hata hivyo kwa siku za karibuni amekabiliwa na changamoto za nje ya uwanja ikiwa ni pamoja na tuhuma za utovu wa nidhamu

Kama Fraga atakuwa katika ubora ule ule alioondoka nao, anaweza kurejea

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
50m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’