Lechantre akomaa na viungo wa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
5 Mar 2018
Lechantre akomaa na viungo wa Simba
Kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre amechukizwa na makosa ya kizembe yaliyofanywa na wachezaji wa Simba kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Stand United.

Mchezo huo uliomalizika kwa sare ya mabao 3-3 uliishuhudia Simba ikiruhusu mabao matatu kutinga katika nyavu zake kwa mara ya kwanza msimu huu.

Hilo limempelekea Lechantre kuandaa program maalum kuhakikisha makosa hayo hayajirudii kwenye mchezo ujao wa kombe la shirikisho dhidi ya Al Masry.

Moja ya madhaifu yaliyopelekea Simba kuruhusu mabao matatu dhidi ya Stand United ni uzembe uliofanywa na viungo pamoja na safu ya ulinzi kujisahamu kurudi kujilinda kwa haraka wanapopoteza mpira langoni kwa adui.

“Wote wanacheza vizuri, lakini wakipoteza mipira inakuwa ngumu sana kuipata tena, wanajisahau katika hilo, wanakuwa kama viungo washambuliaji. Katika mechi na Stand tumeona Mkude na Mzamiru wote wakipoteza mipira na walikuwa wanachelewa kukaba,” alisema Lechantre baada ya mchezo dhidi ya Stand United.

“Tuna mchezaji kama Kazimoto yupo vizuri, lakini naye ni kiungo mshambuliaji, hivyo inatubidi tumbadili nafasi James Kotei ambaye kwa sasa amemaliza matatizo ya nafasi ya ulinzi. Nikisema nimpange Kotei kama kiungo na Juuko Murshid acheze beki, bado tunayumba,” alisema.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE →