Mabingwa wa nchi Simba wataondoka kesho Jumanne kuelekea mkoani Mwanza tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting
Mchezo huo utapigwa Alhamisi, Juni 03 katika uwanja wa CCM Kirumba
Simba ilirejea jijini Dar es salaam mapema leo wakitokea Mtwara baada ya mchezo dhidi ya Namungo Fc ambao walishinda kwa mabao 3-1
Kocha Didier Gomes aliwapa wachezaji wake mapumziko ya siku moja tayari kwa safari ya jijini Mwanza
ADVERTISE HERE