Wachezaji Simba wapewa mapumziko

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 May 2021
Wachezaji Simba wapewa mapumziko

Mabingwa wa nchi Simba walirejea jijini Dar es salaam mapema leo wakitokea kule Mtwara

Ni baada ya mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc uliopigwa mkoani Lindi Jumamosi na Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-1

Meneja wa Simba Partick Rweyemamu amesema wachezaji wamepewa mapumziko ya siku moja kabla ya kuelekea mkoani Mwanza

Alhamisi, Juni 03 Simba itashuka uwanja wa CCM Kirumba kuikabili ruvu Shooting

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’