Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo Fc jana, kikosi cha Simba kilirejea mkoani Mtwara katika kambi ya muda mfupi kabla ya kuelekea Mwanza wanakokabiliwa na mchezo mwingine wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting
Mabingwa hao wa nchi leo walifanya program maalum ya mazoezi






ADVERTISE HERE