Jana kabla ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao Simba ilishinda mabao 3-1, kocha mkuu wa Simba Didier Gomes alikabidhiwa tuzo yake baada ya kuibuka kocha bora wa mwezi April 2021
Gomes na kiungo Clatous Chama walishinda tuzo mwezi April, Chama akiibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi
Ilikuwa bahati mbaya kwa Chama ambaye hakuwepo kupokea tuzo yake, siku ya jana alimpoteza mkewe Bi Mercy Chama aliyefariki dunia nchini Zambia
Hiyo ilikuwa tuzo ya kwanza kwa Gomes aliyejiunga na Simba mwezi Januari mwaka huu
Huu ni mwanzo tu wa tuzo nyingi ambazo anatarajiwa kuzipokea mwaka huu!
ADVERTISE HERE