Bernard Morrison leo amefunga moja ya mabao bora kabisa msimu huu
Ni bao la tatu aliloifungia Simba kwenye ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo Fc
Alimchungulia mlinda lango wa Namungo Jonathan Bahimana aliyekuwa ametoka langoni na kufunga bao akiupiga mpira kutoka katikati ya uwanjani
Kama ilivyo kawaida yake, Morrison hakuacha kukera....!
ADVERTISE HERE