FT : Namungo 1-3 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 May 2021
FT : Namungo 1-3 Simba

Bingwa anaendelea kuunguruma! leo akiwa kule uwanja wa Majaliwa, Ruangwa, machampioni wa soka Tanzania Simba wamepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo Fc

Namungo walitangulia kufunga bao mapema kwenye kipindi cha kwanza

Hata hivyo uzoefu wa wachezaji wa Simba ulitosha kuwahakikishia wababe hao wa soka Tanzania ushindi muhimu unaowafanya wajichimbie kileleni kwa tofauti ya alama tatu

Dakika 9 tu zilitosha kupeleka kilio Ruangwa kwa mabao ya Chris Mugalu, John Bocco na Bernard Morrison aliyefunga bao la 'kideoni'

Safari ya kuelekea ubingwa wa nne msimu huu inaendelea ambapo kimahesabu Simba inahitaji kushinda michezo minne kati ya nane iliyobaki kuurudisha ubingwa Msimbazi

Kituo kinachofuata ni mkoani Mwanza kwa ajili ya mchezo dhidi ya Ruvu Shooting

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’