Kiungo wa klabu ya Simba Clatous Chama amepata msiba wa kufiwa na mkewe nchini Zambia, Bi Mercy Mukuka Chama
Wanamsimbazi tunaungana na Wanamichezo wote nchini kumtumia salamu za rambirambi
Mwenye ez Mungu ampe avumilivu katika kipindi hiki kigumu
ADVERTISE HERE