Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba leo kimeendelea na maandalizi ya mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Al Masry.
Leo Jumapili jioni Simba imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es salaam.
Washambuliaji vinara wa mabao John Bocco na Emanuel Okwi ni miongoni mwa wachezaji waliohudhuria mazoezi hayo yanayosimamiwa na kocha Mkuu Pierre Lechantre.
Simba itakuwa mwenyeji wa Al Masry katika mchezo utakaopigwa Jumatano, March 07 kwenye uwanja wa Taifa ukitarajiwa kuanza saa 12:00 jioni.

ADVERTISE HERE