Baada ya kuwasili Ruangwa mkoani Lindi mapema leo, kikosi cha Simba kimekamilisha maandalizi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Majaliwa kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Majaliwa


ADVERTISE HERE